Baada ya Kajala Kufunguka juu ya Wema na Petitman, Mke wa Petitman Ang'akaaa!



Kazi ya udaku imenipendeza kwa usiku huu....usingiz umenirukaaa..naoma mke wa petiman wivu umempanda gaflaaa..kuona x wamume wake kujipa moyo watakua marafiki na kuish kma zamani..na hapo ndipo alipochajichanganya hadi mke wa petiti kutoa onyooo������ wewe muke wa petiti mwenzio kamaanisha watarud kma zaman kuwa marafiki not kuwa mtu na gerofurendi wake usipanic mama..muombee2 msamaha kwa mumeo kiroho safi..usiogopeee kufuli siunazo mwenyeweee..akizingua unalock vitasaaa������ jaman kesho mungu akipendaaa.nusingiz ulikata gaflaaa..
 By Kichaa wa Wema on Instagram
Je?, UNA HABARI,PICHA, TANGAZO AU TAARIFA AMBAYO UNGEPENDA TUICHAPISHE KATIKA MTANDAO HUU? WASILIANA NASI, Email : fichuziblog@gmail.com , Simu +255 752 925 603

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post

TUTUMIE UJUMBE HAPA