DKT. BITEKO KUFUNGUA MKUTANO WA MADINI


Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko anatarajia kufungua Mkutano wa Kimataifa wa Uwekezaji katika Sekta ya Madini mwaka 2023, leo jijini Dar es Salaam.

Mkutano huo unahudhuriwa na Viongozi, Washiriki na Wageni mbalimbali kutoka ndani na nje ya Nchi na unafanyika katika  Ukumbi wa Mikutano  wa  Kimataifa wa Julius  Nyerere  (JNICC).

Mkutano huo, unatarajiwa kutangaza fursa mbalimbali ya Madini Mkakati na Madini muhimu yaliyopo hapa nchini.

Lengo kuu la mkutano huo ni kutangaza fursa za uwekezaji 

 





Je?, UNA HABARI,PICHA, TANGAZO AU TAARIFA AMBAYO UNGEPENDA TUICHAPISHE KATIKA MTANDAO HUU? WASILIANA NASI, Email : fichuziblog@gmail.com , Simu +255 752 925 603

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post

TUTUMIE UJUMBE HAPA