Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Dodoma akiwasha katika semina ya kuhakikisha chama kinashinda kwa kishindo katika uchaguzi wa serikali za mitaa Ndug. kimbisa ambapo pamoja na mambo mengine amesema Anatarajia ushindi wa kishindo katika uchaguzi huo.
Post a Comment