Habari Picha:
Pichani ni Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini Mhe. Mwita Mwikwabe Waitara akiwa akichangia mada katika Kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI Machi 27, 2024 Jijini Arusha.
Vikao hivyo vya Kamati vilivyoanza kuanzia tarehe 11 vinatarajiwa kutamatika Machi 30, 2024.
Post a Comment