Timu ya Pamba Fc ya Jijini Mwanza inarudisha heshima yake ya zamani kwa kurudi ligi kuu ya Tanzania baada ya kipindi kirefu kuwa nje ya ligi kuu ikiwa imebakiza michezo mitatu basi itakuwa miongoni mwa timu mbili zitakazo cheza ligi ya NBC msimu ujao.
Post a Comment