Abby na Brittany Hensel ni mapacha walioungana mmoja wao ametangaza kufunga ndoa na Josh Bowling ambaye ni nesi na mwanajeshi mkongwe wa Jeshi la Marekani ndoa ambayo ilifungwa mwaka 2021
Aliyetangaza kuolewa ni Abby Hensel ambaye ni pacha aliyeungana upande wa kushoto ambapo yeye na mume wake wanaishi Minnesota
Abby na Josh walificha ndoa yao na kuifanya siri hayo yanajiri baada ya kuweka wazi na kuachia picha za sherehe ya harusi yao.
Habarika & Burudika
Post a Comment