Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt Tulia Ackson, leo tarehe 19 Juni, 2024 amefungua na kuongoza kikao cha 293 cha Kamati Tendaji ya Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) kinachofanyika katika Hoteli ya Kwanza Resort, Kizimkazi, Zanzibar. Kikao hicho kinachotarajiwa kuhitimishwa tarehe 21 Juni, 2024.
Post a Comment