DR MANGURUWE AKABIDHI NGURUWE KWA MSEMAJI WA VITAL'O ARSENE BUCCUTI

 

@malundeblog

MSEMAJI WA VITAL'O ARSENE BUCCUTI ATUA KWA DR. MANGURUWE! AKABIDHIWA ZAWADI YA NGURUWE WAKUBWAAA!!👇🏻👉🐷https://www.malunde.com/2024/08/Mangur.html

♬ original sound - Malunde

Mfanyabiashara na Mfugaji maarufu wa Nguruwe wa Dodoma Dr Manguruwe ametimiza ahadi yake ya kumpa zawadi ya nguruwe Msemaji wa Vital'O Arsene Buccuti baada ya kuonesha uwezo mkubwa wa kuisemea timu yake wakati wa michezo miwili ya Kufuzu Klabu Bingwa dhidi ya Yanga.

Msemaji wa Vital'O Arsene Buccuti amesafiri kutoka Jijini Dar es Salaam hadi Zamahero Dodoma na kupokea zawadi ya Nguruwe wawili wakubwa, ambapo ametoa pongezi nyingi kwa Mfugaji huyo na Watanzania kwa ujumla kwa upendo ambao wamemuonesha.



Je?, UNA HABARI,PICHA, TANGAZO AU TAARIFA AMBAYO UNGEPENDA TUICHAPISHE KATIKA MTANDAO HUU? WASILIANA NASI, Email : fichuziblog@gmail.com , Simu +255 752 925 603

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post

TUTUMIE UJUMBE HAPA