Kamati ya Bajeti ya Baraza l Wawakilishi Zanzibar, chini ya Mwenyekiti wake Mhe. Mwanaasha Khamis Juma wameupongeza Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) kwa mafanikio makubwa uliyopata katika utekelezaji wa majukumu yake ya msingi ambayo ni kuandikisha wanachama, kukusanya michango, kuwekeza na kulipa mafao.
Habarika & Burudika
Post a Comment