Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Kitabu cha miaka 60 ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam tarehe 01 Septemba, 2024.
Haya ni Mtukio mbalimbali wakati wa kilele cha Maadhimisho ya kutimiza miaka 60 kwa Jeshi hilo katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam tarehe 01 Septemba, 2024.
Post a Comment