Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt.Doto Biteko akipokea maelezo kuhusu ubunifu unaotumiwa na wachimbaji wadogo wa madini alipotembelea Mabanda mbalimbali wakati wa ufunguzi wa Maonesho ya saba ya Teknolojia ya Madini Geita-Bombambili Oktoba 5, 2024.
Habarika & Burudika
Post a Comment