KAPINGA KATIKA MAPOKEZI YA RAIS SAMIA MWANZA


Naibu Waziri wa Nishati,  Mhe. Judith Kapinga  leo Oktoba 12, 2024 ameungana na viongozi mbalimbali wa Serikali pamoja na wananchi kwenye mapokezi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Jijini Mwanza.


Rais Samia yupo mkoani Mwanza kwa ziara ya kikazi.





 

Je?, UNA HABARI,PICHA, TANGAZO AU TAARIFA AMBAYO UNGEPENDA TUICHAPISHE KATIKA MTANDAO HUU? WASILIANA NASI, Email : fichuziblog@gmail.com , Simu +255 752 925 603

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post

TUTUMIE UJUMBE HAPA