Historia ya meridianbet
Meridianbet Ni kampuni ya kubashiri nchini Tanzania iliyosajiliwa kwa mujibu wa Sheria iliyosajiliwa mwaka 2017 kwa Mujibu wa Wikipedia
Tangu wakati huo imekuwa na mafanikio makubwa katika tasnia ya michezo ya bahati nasibu Tanzania.
YALIYOMO
1. JINSI YA KUJISAJILI MERIDIANBET
2. PROMO CODE YA MERIDIANBET (MERIDIANBET PROMO CODE)
3. MICHEZO INAYOPATIKANA MERIDIANBET
4. HITIMISHO
JINSI YA KUJISAJILI MERIDIANBET TANZANIA
Hapa tutaeleza Hatua kwa Hatua jinsi ya kuweza kufungua account yako ya meridianbet mtandaoni
a) Tembelea tovuti ya meridianbet tz au Bofya >HAPA> https://a.meridianbet.co.tz/c/AertQt
b) Jaza namba yako ya simu bila kuanza na 0
c) Tengeneza password yako yenye mchanganyiko wa namba na neno
d) Jaza Tena password yako Kama ulivyojaza hapo juu
e) Bonyeza kiduara kilichoandikwa promo code na ujaze namba hizi 1109 Kama promo code ya Pmbet
f) Kubali vigezo na masharti kwa kubofya kiduara cha terms and conditions
g) jisajili, utapokea ujumbe kwenye simu yako kwenye namba uliyojaza, deposit na uendele kufurahia huduma
MERIDIANBET PROMO CODE (PROMO CODE YA MERIDIANBET)
Kama tulivyokwisha kuona hapo juu kuwa promo code ni msimbo maalumu ambao hutumika wakati wa kujisajili au kufungua account . Namba hiyo ni 1109 , mteja hutakiwa kujaza kwa usahihi code hiyo ili kupokea bonasi pale atakapoweka pesa kwa Mara ya kwanza kulingana na promosheni zilizopo.
MICHEZO INAYOPATIKANA MERIDIANBET
Kampuni ya kubashiri ya meridianbet inazo huduma mbalimbali kwa wateja wake ikiwemo kubashiri mpira wa miguu, michezo ya casino na slots za mitandaoni, michezo ya virtual, tennis, boxing, aviator miongoni mwa michezo mingine. Aidha kampuni ya kubashiri ya meridianbet hutoa huduma nzuri kwa wateja 24/7, malipo ya haraka, odds nzuri , na masoko mengi.
HITIMISHO
Je una changamoto yoyote na ungependa kuwasiliana na meridianbet? Unaweza kuwasiliana na meridianbet kupitia njia ya simu ya mkononi pamoja na barua pepe kama ifuatavyo, simu namba 0768988200
Barua pepe, info@meridianbet.co.tz
Beti kistaarabu
Soma zaidi https://www.mashelle.co.tz
Post a Comment