Leo October 12,2024 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt,Samia Suluhu Hassan amewasili Uwanja wa Ndege wa Mkoani Mwanza ambapo katika ziara hiyo anatarajiwa kushiriki Kilele Cha Mbio za Mwenge wa Uhuru 2024.
Habarika & Burudika

Post a Comment