Heri ya Kumbukizi ya Siku ya Kuzaliwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Mashaka Biteko.
********************
Mbunge wa Jimbo la Bukombe ambaye pia ni Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameendelea kuonesha matamanio ya kuwaletea maendeleo wananchi.
Kumekuwa na mageuzi kadhaa katika sekta mtambuka ikiwamo sekta ya afya ambapo wananchi sasa wanapata huduma za afya katika Hospitali ya Wilaya Bukombe.
Post a Comment