Jina langu ni Tausi mkazi wa Tanga, kwa sasa ni Mama wa watoto wawili ambao nawapenda sana kutokana na mazingara ambayo nilipitia hadi kuwapata.
Kuna wakati nawatazama watoto wangu na kujikuta machozi yakinitoka, si machozi ya uchungu bali machozi ya furaha, ni kitu ambacho kila siku nashukuru maana naona kwangu ni zaidi ya miujiza.
Ukisema uchungu wa mwana aujuaye mzazi, basi mimi nahisi uchungu huo naujua mimi kuliko mwanamke yeyote yule, naona kama nimepitia changamoto sana katika uzazi wangu.
Nasema hiyo kwa sababu nilipobeba ujauzito wangu wa kwanza, mimba iliharibika baada ya miezi mitatu, Madaktari waliniambia ni jambo la kawaida huwa linawatokea wanawake wengi.
Nilishauriwa kupumzika kwa muda kabla ya kuamua kubeba ujauzito mwingine kwa ajili ya kulinada afya yangu.
Kweli nilipumzika na baada ya zaidi ya mwaka mmoja nilibeba ujauzito mwingine nikiwa na matumaini ya kuitwa mama, lakini nao ulitoka baada ya miezi saba.
Nilihuzunika sana maana ilikuwa imesalia miezi miwili niweze kujifungua lakini haikuwa hivyo, Madaktari walinifanyia uchunguzi wakaniambia sina tatizo lolote.
Nilikuja tena kubeba ujauzito mwingine, huu nao ndio uliharibika mapema zaidi, ukiwa ni miezi mitatu tu nao ulitoka, nilikuwa nikimtazama mume wangu napata mawazo zaidi na kuhisi anaweza kuniacha na kwenda kuzaa na mwanamke mwingine nje.
Hatimaye nikabeba tena ujauzito mwingine ambao nilikuwa na wasiwasi mwingi, huu ulikaa miezi sita nao ukawa umeharibika, nilikuwa na msongo wa mawazo hadi nikaamua kuacha kazi ili kujipa mapumziko.
Kuna siku wifi yangu ambaye ameolewa huko Kericho nchini Kenya alikuja kunitembelea nyumbani, nilimuueleza kuhusu hali yangu, alinipa pole sana na kuniambia kuna Daktari wa mitishamba toka Kericho nchini Kenya anaitwa Dr Bokko anaweza kunisaidia.
Mume wangu alipotoka kazini nilimueleza kuhusu hilo aliloniambia wifi yangu, mume wangu alikubali, hivyo kesho yake tukapanda Basi asubuhi na mapema kuelekea Kericho.
Nashukuru tulifika salama na kupokelewa vizuri, tulionana na Kiwanga na kumueleza jinsi ambavyo mimba zangu zimekuwa zikiharibika.
Dr Bokko alifanya ganga ganga zake kisha baada ya muda aliniambia nyumba tuliyopanga ndio ina mikosi, hivyo tuhame mara moja, kisha alinipatia na dawa nyingine za kutumia.
Nilirejea nyunbani na kumueleza hilo mume wangu, tuliamua kuhama kwenye nyumba ile baada wiki chache.
Kweli baada ya kuhama niliweza kubeba ujauzito mwingine ambao ulikuwa ni watano, nilikuwa na uwoga mwingi na mashaka sana hata pale nilipoumwa homa ya kawaida tu nilihisi ndio inatoka.
Nashukuru nilijifungua salama mtoto wangu wa kwanza ambaye niliamua kumpa jina la Shukrani.
Baada ya mwaka mmoja na nusu nilibeba ujauzito mwingine na kujifungua salama mtoto wangu huyu wa pili, kwa kipekee zaidi nashuhudia kuwa Dr Bokko amekuwa mtu muhimu sana wenye maisha yangu. Mpigie kwa namba +255618536050.
Mwisho.
Post a Comment