🎄 Je, Unahitaji Kupendeza na kuwa na Mvuto wa Pekee Msimu huu wa Sikukuu? 🎁
RADVA Barbershop & SPA ni Mahali Pekee ambapo Ubora, Uzuri, Mvuto na Ustawi vinakutana msimu huu wa Krismasi na Mwaka Mpya!
RADVA Barbershop & SPA iko Mtaa wa Market, mkabala na Mnazi Mmoja, Mjini Shinyanga!
Tunatoa Huduma Bora na za Kipekee:
👉Tunanyoa mitindo yote ya nywele!
👉Full Body Massage!
👉Dreadlocks!
👉SCRUB aina zote za ngozi!
👉Magic!
👉Pedicure!
👉Manicure!
👉Wave!
👉Super Black!
🔊 Huu ni wakati wa kupendeza!
📞 Wasiliana nasi kwa huduma bora:
+255 767 958 194
RADVA Barbershop & SPA – Mahali ambapo uzuri wako unapata hadhi ya kipekee!
Post a Comment