BALOZI NCHIMBI ATEMBELEA OFISI YA UBALOZI WA TANZANIA ETHIOPIA

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akisaini kitabu cha wageni katika Ofisi ya Ubalozi wa Tanzania nchini Ethiopia, mjini Addis Ababa, alipotembelea ofisini hapo wakati wa ziara yake ya kikazi nchini humo. Kulia kwa Balozi Nchimbi ni Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia, Mhe. Innocent Eugene Shiyo na kushoto kwake ni Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) – Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Ndugu Rabia Abdalla Hamid.

 

Je?, UNA HABARI,PICHA, TANGAZO AU TAARIFA AMBAYO UNGEPENDA TUICHAPISHE KATIKA MTANDAO HUU? WASILIANA NASI, Email : fichuziblog@gmail.com , Simu +255 752 925 603

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post

TUTUMIE UJUMBE HAPA