Matukio katika picha wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt, Samia Suluhu Hassan wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Sheria Nchini yaliyofanyika Viwanja vya Chinangali Mkoani Dodoma leo February 03,2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt, Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Sheria Nchini yaliyofanyika Viwanja vya Chinangali Mkoani Dodoma leo February 03,2025.
Post a Comment