HAPPY KARUME DAY!

Ikiwa leo ni tarehe 7 Aprili Uongozi wa Fichuzinews Blog unawatakia watanzania wote maadhimisho mema ya kumbukizi ya kifo cha Sheikh Abeid Amani Karume, Rais wa kwanza wa Zanzibar na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, aliyeuawa mwaka 1972.

Karume alikuwa shujaa wa Mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka 1964 na mmoja wa waanzilishi wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar uliounda Tanzania. Alipigania haki, usawa, na maendeleo ya wananchi wa Zanzibar na Watanzania kwa ujumla.

Kwa kutambua mchango wa Uongozi wake ambao umeacha alama kubwa katika historia ya nchi yetu. Tunamkumbuka kwa heshima na shukrani.

Pumzika kwa amani Mzee wa Mapinduzi.

Je?, UNA HABARI,PICHA, TANGAZO AU TAARIFA AMBAYO UNGEPENDA TUICHAPISHE KATIKA MTANDAO HUU? WASILIANA NASI, Email : fichuziblog@gmail.com , Simu +255 752 925 603

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post

TUTUMIE UJUMBE HAPA