Ninazo Picha 10 za utengenezaji wa video mpya ya Snura mtu wangu.

15snMkali wa hit singo ya Hawashi ‘Snura‘ amesema kwa sasa yuko tayari kurudi kwenye Tvyako akiwa na video mpya ya singo yake ambayo kwenye radio bado haijawa rasmi.

Singo hii inaitwa Najidabua kwenye wimbo huu Snura kuzungumzia wakina mama wanaopata taabu ya kupata watoto kipindi ambacho wanaume wao wanakua na wanahitaji watoto.
Hk ambaye ni meneja wa Snura amesema kuwa video hii wanategemea kuichia mwanzon wa mwezi June na imetenegenezwa na kampuni mpya inayoitwa Ice Video.

13sn
11sn
10sn
9sn
8sn
5sn
4sn

2sn
1sn
Je?, UNA HABARI,PICHA, TANGAZO AU TAARIFA AMBAYO UNGEPENDA TUICHAPISHE KATIKA MTANDAO HUU? WASILIANA NASI, Email : fichuziblog@gmail.com , Simu +255 752 925 603

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post

TUTUMIE UJUMBE HAPA