Mkali wa hit singo ya Hawashi ‘Snura‘ amesema kwa sasa yuko tayari kurudi kwenye Tvyako akiwa na video mpya ya singo yake ambayo kwenye radio bado haijawa rasmi.
Singo hii inaitwa Najidabua kwenye wimbo huu Snura kuzungumzia wakina mama wanaopata taabu ya kupata watoto kipindi ambacho wanaume wao wanakua na wanahitaji watoto.
Hk ambaye ni meneja wa Snura amesema kuwa video hii wanategemea kuichia mwanzon wa mwezi June na imetenegenezwa na kampuni mpya inayoitwa Ice Video.
إرسال تعليق