Tanzia : MBUNGE WA MBARALI AFARIKI DUNIA KWA KUGONGWA NA TREKTA


Mbunge wa Jimbo la Mbarali Mhe. Francis Leonard Mtega amefariki dunia leo Julai 1,2023 kwa ajali ya kugongwa na Trekta (Power Tiller) shambani kwake Mbarali Mkoani Mbeya

Je?, UNA HABARI,PICHA, TANGAZO AU TAARIFA AMBAYO UNGEPENDA TUICHAPISHE KATIKA MTANDAO HUU? WASILIANA NASI, Email : fichuziblog@gmail.com , Simu +255 752 925 603

0 تعليقات

إرسال تعليق

Post a Comment (0)

أحدث أقدم

TUTUMIE UJUMBE HAPA