Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania UWT Mary Chatanda amekutana na wananchi wa kata wa Luhanga na Igurusi Wilayani Mbarali Mkoani Mbeya na kuwaomba wamchague Mgombea wa Chama Cha Mapinduzi Bahati Ndingo kuwa Mbunge wa Jimbo la Mbarali.
Akizungumza leo na wananchi wa kata hizo Mwenyekiti Chatanda amesema UWT Taifa imejipanga kikamilifu kutafuta kura za Mgombea wa CCM Jimbo la Mbarali usiku na mchana ili chama Cha Mapinduzi kishinde kwa kishindo.
UWT IMARA JESHI LA MAMA KAZI IENDELEE
إرسال تعليق