CHATANDA ATAKA WAZAZI KUTILIA MKAZO SUALA LA MAADILI KWA WATOTO

  

Mwenyekiti wa UWT Taifa Ndg. Mary Chatanda ameshiriki mbio za Mwenge wa Uhuru Wilayani Mbarali Mkoani Mbeya.

Akizungumza leo katika Mkesha wa Mwenge wa Uhuru Wilayani Mbarali Mwenyekiti Chatanda amewataka wazazi na walezi wa watoto kuwa makini juu ya suala la maadili ambalo limekuwa ni changamoto kubwa katika Taifa letu.

"Ndugu wazazi wenzangu tuwe makini na vijana wetu kwani hali imekuwa mbaya dunia imeharibika tuongeze umakini kwenye suala la malezi ya watoto wetu", Chatanda amesema

UWT IMARA JESHI LA MAMA KAZI IENDELEE



Je?, UNA HABARI,PICHA, TANGAZO AU TAARIFA AMBAYO UNGEPENDA TUICHAPISHE KATIKA MTANDAO HUU? WASILIANA NASI, Email : fichuziblog@gmail.com , Simu +255 752 925 603

0 تعليقات

إرسال تعليق

Post a Comment (0)

أحدث أقدم

TUTUMIE UJUMBE HAPA