Mkuu wa Wilaya ya Manyoni Mhe Kemirembe Lwota akiwa Mgeni Rasmi kwenye Hafla fupi ya Kufunga Mafunzo ya Awali ya Jeshi la Akiba yaliyofanyika leo Novemba 15, 2023 katika Viwanja vya Jumbe.
Yafuatayyo ni matukio katika picha wakati wa Hafla ya kufunga Mafunzo ya Awali ya Jeshi la akiba.
Post a Comment