MATUKIO KATIKA HAFLA YA KUFUNGA MAFUNZO YA AWALI YA JESHI LA AKIBA

Mkuu wa Wilaya ya Manyoni Mhe Kemirembe Lwota akiwa Mgeni Rasmi kwenye Hafla fupi ya Kufunga Mafunzo ya Awali ya Jeshi la Akiba yaliyofanyika leo Novemba 15, 2023 katika Viwanja vya Jumbe.

Yafuatayyo ni matukio katika picha wakati wa Hafla ya kufunga Mafunzo ya Awali ya Jeshi la akiba.







Je?, UNA HABARI,PICHA, TANGAZO AU TAARIFA AMBAYO UNGEPENDA TUICHAPISHE KATIKA MTANDAO HUU? WASILIANA NASI, Email : fichuziblog@gmail.com , Simu +255 752 925 603

0 تعليقات

إرسال تعليق

Post a Comment (0)

أحدث أقدم

TUTUMIE UJUMBE HAPA