Wimbo Mpya : POLISI MSANII NYUMBU MJANJA Ft. KANETO - MIMI NA WEWE
0
Msanii Polisi maarufu Nyumbu Mjanja anakualika kusikiliza wimbo wake Mpya unaitwa Mimi Na Wewe! Katika wimbo huu unaohusu Usalama Barabarani (Ajali) Nyumbu Mjanja amemshirikisha Kaneto
Je?, UNA HABARI,PICHA, TANGAZO AU TAARIFA AMBAYO UNGEPENDA TUICHAPISHE KATIKA MTANDAO HUU? WASILIANA NASI, Email : fichuziblog@gmail.com , Simu +255 752 925 603
إرسال تعليق