Pichani ni mwonekano wa gari la Mbunge wa Jimbo la Simanjiro Christopher Ole Sendeka lilivyoshambuliwa jana usiku ambapo jeshi la polisi linaendelea na uchunguzi na mpaka sasa timu ya wataalamu kutoka makao makuu Dodoma kwa kushirikiana na timu ya wataalamu Manyara ili kupata wahusika na kujua chuanzo cha shambulio hili lililohusisha risasi.
Habarika & Burudika
إرسال تعليق