Historia inasema kuwa Bassirou Diomaye Faye alizaliwa mwaka 1980
Ndiaganiao,Senegal na mama Marie khone Faya.
Elimu yake ana Shahada ya uzamili wa sheria, Ni mmoja ya wanasiasa vijana wenye maarifa na maono ya mbali na ameshawahi kukaa jela katika harakati zake za kisiasa.
Ana wake wawili ambao ni Marie and Absa na inaelezwa kuwa rafiki mkubwa wa mwanasiasa wa senegal aliyeshika nafasi ya tatu katika uchaguzi wa urais uliopita comrade sonko.
Post a Comment