IJUE HISTORIA RAIS MTEULE WA SENEGAL


 Pongezi mbalimbali zinazidi kumiminika kwa Rais mteule wa Senegal kwa ushindi wa kishindo Bassirou Diomaye Faye ambaye alikuwa ni mkaguzi wa zamani wa kodi aliyeamua kujikita katika kisiasa.

Historia inasema kuwa Bassirou Diomaye Faye alizaliwa mwaka 1980

Ndiaganiao,Senegal na mama Marie khone Faya.

Elimu yake ana Shahada ya uzamili wa sheria, Ni mmoja ya wanasiasa vijana wenye maarifa na maono ya mbali na ameshawahi kukaa jela katika harakati zake za kisiasa. 

Ana wake wawili ambao ni Marie and Absa na inaelezwa kuwa rafiki mkubwa wa mwanasiasa wa senegal aliyeshika nafasi ya tatu katika uchaguzi wa urais uliopita comrade sonko.

Je?, UNA HABARI,PICHA, TANGAZO AU TAARIFA AMBAYO UNGEPENDA TUICHAPISHE KATIKA MTANDAO HUU? WASILIANA NASI, Email : fichuziblog@gmail.com , Simu +255 752 925 603

0 تعليقات

إرسال تعليق

Post a Comment (0)

أحدث أقدم

TUTUMIE UJUMBE HAPA