Anayetupambia kurasa zetu za leo ni Bi. Asia Abdallah Juma -Mkuu wa Wilaya mstaafu na Mjumbe wa baraza kuu la UWT Taifa.
Haiba yake na matendo ni mvuto kwa vijana wa kitanzania Unyenyekevu wake kwa jamii hauna kipimo.
Kujitoa kwake katika kusaidia jamii ni moyo aliokuwa nao katika maisha Tunamtakia kila la kheri na aendelee na moyo huo huo.
إرسال تعليق