RC MTANDA AZINDUA KITUO CHA POLISI KATA YA LABOUR

 

Na Ernest makanya ,Rorya

Mkuu wa mkoa wa mara said mtanda kwa kushirikiana na viongozi wa wilaya ya rorya wamefanya uzinduzi wa kituo cha police kata ya labour ili kusogeza hudumu za ulinzi na usalama karibu

Mkuu wa mkoa wa mara amefanya uzinduzi wa kituo hicho katika kata ya laubor ambapo amewataka jeshi la police kutenda haki kwa wanainchi
Mkuu wa mkoa amewapongeza Mwenyekiti wa halmashuri na viongozi wa kijiji kwa kushirikiana kuleta kituo cha police eneo hilo

“ Mimi kama mkuu wa mkoa wa mara sito vumilia kuona jeshi la police linalo acha misingi ya jeshi na kuingia kwenye kuwabambikizia watu vyesi”,amesema mtanda

Naye Mwenyekiti wa halimshauri alisema tunashukuru heshima uliyo tupatia  sisi kama wakazi wa makongolo na labour kwa ujumla ukiangalia umbali  ulio kuwepo wakati wa uhitaji wa huduma ya jeshi la police

“Kwa tarafa zetu zinazo unda wilaya ya rorya hii ni tarafa ya Roimbo na hichi ni kituo cha police cha kwanza ko mimi kwa kushirikiana na serikali ya kijiji tumeona umuhimu wa jambo hili “Alisema Gelad Ng’ong’a

 


 

Je?, UNA HABARI,PICHA, TANGAZO AU TAARIFA AMBAYO UNGEPENDA TUICHAPISHE KATIKA MTANDAO HUU? WASILIANA NASI, Email : fichuziblog@gmail.com , Simu +255 752 925 603

0 تعليقات

إرسال تعليق

Post a Comment (0)

أحدث أقدم

TUTUMIE UJUMBE HAPA