WAWAKILISHI WA UMOJA WA MABUNGE DUNIANI IPU KUTOKA TANZANIA, WASHIRIKI KIKAO CHA 37 NCHINI USWISI



 Pichani ni Mhe Esther Nicholas Matiko Mbunge na Mhe Eng Mwaisha Ulenge wawakilishi wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) kutoka Bunge la Tanzania wakishiriki kikao cha 37 cha Jukwaa la Wabunge Wanawake wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) kilichoketi leo 23/03/2024 Geneva nchini Uswis kikiwa na ajenda mahususi za kujadili.


Kikao hicho kinajadili, shughuli za IPU zitakazochochea na kuongeza usawa wa kijinsia, (ii) Mchango wa shughuli za mkutano wa 148 zilizotokana na mtazamo wa kijinsia, (iii) Mwanamke mjenzi wa Amani katika kuendeleza Amani endelevu na kuchagua viongozi wa ofisi ya Wabunge Wanawake wa IPU.





Je?, UNA HABARI,PICHA, TANGAZO AU TAARIFA AMBAYO UNGEPENDA TUICHAPISHE KATIKA MTANDAO HUU? WASILIANA NASI, Email : fichuziblog@gmail.com , Simu +255 752 925 603

0 تعليقات

إرسال تعليق

Post a Comment (0)

أحدث أقدم

TUTUMIE UJUMBE HAPA