DKT. BITEKO AMTEMBELEA MZEE MASHISHANGA NYUMBANI KWAKE



Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko, Amemtembelea kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Mkuu wa Mkoa mstaafu, Mzee Stephen Mashishanga nyumbani kwake, Mtaa wa Forest, Mkoani Morogoro Aprili 11, 2024.

 



Je?, UNA HABARI,PICHA, TANGAZO AU TAARIFA AMBAYO UNGEPENDA TUICHAPISHE KATIKA MTANDAO HUU? WASILIANA NASI, Email : fichuziblog@gmail.com , Simu +255 752 925 603

0 تعليقات

إرسال تعليق

Post a Comment (0)

أحدث أقدم

TUTUMIE UJUMBE HAPA