MCHENGERWA ATOA MILIONI 40 KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO RUFIJI


 Mbunge wa Rufiji na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais - TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa ametimiza ahadi yake kutoa shilingi milioni 40 kwa wananchi wa Rufiji walioathirika na mafuriko kwa ajili ya kununulia mbegu za mazao yaliyosombwa na maji na pia ameongeza shilingi Millioni  milioni 10 na hivyo amemkabidhi jumla ya shilingi milioni 50 Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Meja Edward Gowele.

Ikumbukwe kuwa Fedha hizi ni kutoka mfukoni  mwa Mhe. Mchengerwa ikiwa ni sehemu ya mshahara wake kuwafuta machozi wananchi wa Rufiji kwa adha waliyopata kutokana na mafuriko.

 





 

Je?, UNA HABARI,PICHA, TANGAZO AU TAARIFA AMBAYO UNGEPENDA TUICHAPISHE KATIKA MTANDAO HUU? WASILIANA NASI, Email : fichuziblog@gmail.com , Simu +255 752 925 603

0 تعليقات

إرسال تعليق

Post a Comment (0)

أحدث أقدم

TUTUMIE UJUMBE HAPA