Mwanzilishi wa mradi mkubwa wa ufugaji wa nguruwe mkoani Dodoma wa Saimon Mkondya maarufu kama Mr Manguruwe amepewa zawadi ambao hakuitarajia ya punda na wanawake wa jamii ya wafugaji wa Kimasai.
Mr Manguruwe amepewa zawadi hiyo baada ya kutoa darasa na kuwaelimisha wanawake hao kuwa ufugaji wa nguruwe unalipa kuliko mifugo yote.
Hayo yametokea katika Kijiji cha Tarangire Mkoani Manyara.
Mwanzilishi wa mradi mkubwa wa ufugaji wa nguruwe mkoani Dodoma wa Saimon Mkondya maarufu kama Mr Manguruwe amepewa zawadi ambao hakuitarajia ya punda na wanawake wa jamii ya wafugaji wa Kimasai. pic.twitter.com/1QI3byupTu
— MwanaHabari (@MwanaHabariNews) May 27, 2024
إرسال تعليق