SPIKA DKT. TULIA AWASILI BUDAPEST NCHINI HUNGARY


Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Dkt. Tulia Ackson, leo tarehe 6 Oktoba,  2024 amewasili Budapest nchini Hungary kwa ziara ya kikazi ambapo amepokelewa na Naibu Spika wa Bunge la Hungary, Mhe. Márta Mártai.


Dkt. Tulia anatarajia kushiriki Maadhimisho ya miaka 135 ya kuanzishwa kwa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) yatakayofanyika nchini humo kuanzia tarehe 7-9 Oktoba, 2024.


Je?, UNA HABARI,PICHA, TANGAZO AU TAARIFA AMBAYO UNGEPENDA TUICHAPISHE KATIKA MTANDAO HUU? WASILIANA NASI, Email : fichuziblog@gmail.com , Simu +255 752 925 603

0 تعليقات

إرسال تعليق

Post a Comment (0)

أحدث أقدم

TUTUMIE UJUMBE HAPA