Timu za uokoaji kutoka Jeshi la Zimamoto na Uokoaji leo November 23,2024 zimeendelea na kazi ya kuondosha vifusi na mizigo kufuatia kuporomoka kwa jengo la ghorofa Kariakoo Jijini Dar es salaam.
Ghorofa hilo liliporomoka November 16,2024 lililosababisha vifo vya Watanzania 20 na majeruhi kadhaa huku hatua mbalimbali zikiendelea kuchukuliwa na serikali ikiwemo uchungzi.
إرسال تعليق