MSIANGAIKE NA WALALAMISHI, CCM TUNABEBA VYOTE - DKT BITEKO



Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa ambaye pia ni Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka WanaCCM Bukombe na Wananchi kwa ujumla kujitokeza kupiga kura ya kuwachagua viongozi wao katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa na kuwataka wasiangaike na walalamishi na badala yake wakapige kwa WagombeawaCCM na kuhakikisha maeneo yote wanachukua ushindi .




Dkt. Biteko amesema hayo wakati akizindua Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27 Mwaka huu.


Je?, UNA HABARI,PICHA, TANGAZO AU TAARIFA AMBAYO UNGEPENDA TUICHAPISHE KATIKA MTANDAO HUU? WASILIANA NASI, Email : fichuziblog@gmail.com , Simu +255 752 925 603

0 تعليقات

إرسال تعليق

Post a Comment (0)

أحدث أقدم

TUTUMIE UJUMBE HAPA