Picha; DKT. BITEKO AKISIKILIZA MICHANGO YA WABUNGE KUFUATIA BAJETI ALIYOIWASILISHA MAPEMA LEO BUNGENI HAPO


 Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko anasikiliza michango ya Wabunge mbalimbali mara baada ya kuwasilisha Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Nishati katika mkutano wa kumi na tisa wa Bunge, Kikao cha kumi na tatu April 28, 2025 Jijini Dodoma.





Je?, UNA HABARI,PICHA, TANGAZO AU TAARIFA AMBAYO UNGEPENDA TUICHAPISHE KATIKA MTANDAO HUU? WASILIANA NASI, Email : fichuziblog@gmail.com , Simu +255 752 925 603

0 تعليقات

إرسال تعليق

Post a Comment (0)

أحدث أقدم

TUTUMIE UJUMBE HAPA